Hamas waambiwa na Trump tunataka mateka wote Jumamosi, vinginevyo wasahauu majadiliano

Hamas waambiwa na Trump tunataka mateka wote Jumamosi, vinginevyo wasahauu majadiliano

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Haya Yangu macho

Mwamba ametangaza hataki kusikia tena mateka 3-4-8

Anataka mateka wote saa kumi na mbili jioni wawe Tel Aviv

Else hataki kusikia Majadiliano yakiendelea

Na hamas WAKUBALIANE na chochote kitakachofuata

Pdidyjr2025
 
Muvi huwa zinadanganya sana!, ni mara ngapi marekani anaomba mateka sasa..?
na wakigoma huwa tunaona moto mkali sana kwenye muvi na kauli zao utasikia wanasema "we don't negotiate with terrorists!"

Huku sasa kwenye moja na mbili, maisha halisi mateka anatekwa siku akiachiwa anatamani arudi alipotekwa..!🤣

Life is makangabiriti aisee!
 
USA na Israel wanachotaka hapo ni kuingia tena Gaza kuwashambulia Hamas..
Na itatafutwa kisababu kidogo sana, kingine hao mateka wanakwenda kuhojiwa ili watoe taarifa za huko walipokuwa...
Sidhani kama Israel ina amani Hamas kuwepo hapo GAza.. Hii vita itaendelea baada ya kubadilishana mateka..
 
100 perc mkuu

Wale WALIOACHIWA walikuwa chambo kuelexa waliishije aisee napita tyu
 
Back
Top Bottom