USA na Israel wanachotaka hapo ni kuingia tena Gaza kuwashambulia Hamas..
Na itatafutwa kisababu kidogo sana, kingine hao mateka wanakwenda kuhojiwa ili watoe taarifa za huko walipokuwa...
Sidhani kama Israel ina amani Hamas kuwepo hapo GAza.. Hii vita itaendelea baada ya kubadilishana mateka..