Hamas waendeleza mateso kwa raia wa Gaza dunia iko Kimya!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Aliyemsifia Netanyahu na Trump kuruhusu misaada ya chakula avunjwa mikono na miguu.

Magaidi kwa sasa wanauana wao kwa wao na dunia wako kimya kabisa!!

Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ya wao kwa wao hua hawaipigii kelele wanasubir Netanyahu aanze kuwapakata
 
VIdeo hiyo watumiwe wale waandamanaji wanao waonea huruma HAMAS huko ulaya wajiridhishe kwamba HAMAS sio watu ni Kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…