Hamas waliwateka wanawake ili kuwabaka

Hamas waliwateka wanawake ili kuwabaka

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa watekaji wake alimnyanyasa kingono.

Hawa ndio Hamas. Wanawake sio mateka tu; ni waathirika wa unyanyasaji usiofikirika wa Kingo o Na bado jumuia za ki Mataifa zako kimya Maandamano ya wanawake hawa yako wapi?

Ulimwengu ulikuwa mwepesi kupiga kelele kuhusu Gaza, lakini linapokuja suala la wanawake wa Israeli, kuna ukimya huwezi kusikia mtu anapaza sauti karibu ujmują zote za kimataifa ikiwemo UN zimetekwa nyara na waarabu hata siku moja hawajawahi kulaani vitendo vya magaidi hao Red-Cross nao hawajawahi kuwatembelea mateka hata siku moja. Magaidi wa Hamas ni wauaji na wabakaji.
 
Attachments

  • IMG_1741.jpeg
    IMG_1741.jpeg
    133.1 KB · Views: 1

Hiyo inajulikana ndio maana Israeli, ali igalagaza gaza na kuua viongozi wa hamas na familia zao. Vitu vingine havi ongelewi kulinda utu wa mtu
 
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa watekaji wake alimnyanyasa kingono.

Hawa ndio Hamas. Wanawake sio mateka tu; ni waathirika wa unyanyasaji usiofikirika wa Kingo o Na bado jumuia za ki Mataifa zako kimya Maandamano ya wanawake hawa yako wapi?

Ulimwengu ulikuwa mwepesi kupiga kelele kuhusu Gaza, lakini linapokuja suala la wanawake wa Israeli, kuna ukimya huwezi kusikia mtu anapaza sauti karibu ujmują zote za kimataifa ikiwemo UN zimetekwa nyara na waarabu hata siku moja hawajawahi kulaani vitendo vya magaidi hao Red-Cross nao hawajawahi kuwatembelea mateka hata siku moja. Magaidi wa Hamas ni wauaji na wabakaji.

Bwana Echolima1 kuna habari nyingi ima huzijui au hujasimuliwa.
1. Media za Dunia na hasa Western ziko' bias '. Mfano, juzi kutwa habari ni kuhusu maiti za watoto 2 wa Israel zilizorudishwa na Hamas. Media hizo haziongelei Watoto zaidi ya 20,000 waliouawa kwa mabomu Gaza. Media hizo haziongelei Watoto waliokufa kwa kukosa Chakula , wala haziongeleo Watoto wanaotangulizwa na Askari wa Israel mbele ili kama kuna mabomu yawalipukie.
Hujaongelea picha za Mtoto (8) wa Palestina wakipigwa risasi mchana kweupe

2. Wewe umepata habari za Mwanamke kunyanyaswa kingono! ni mbaya kama imetokea
Vipi kuhusu Habari zenye uthibitisho wa Picha za Video tena zikitolewa na kuthibitishwa na Mashirika yote makubwa ya Habari na Serikali ya Israel, zikionyesha Askari wa Israel '' WAKIWALAWITI ' wafungwa Wanaume wa Palestina

Hili unasemaje!

JokaKuu
 
Kubaka ni kulawiti Sunna Sheikh.

Sote Kwa pamoja tuseme alhamdulilah
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Mara nyingi katika vita ko kote duniani,Wanawake ndiyo wanakuwa wahanga wa vitendo vya Ubakaji.
 
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa watekaji wake alimnyanyasa kingono.

Hawa ndio Hamas. Wanawake sio mateka tu; ni waathirika wa unyanyasaji usiofikirika wa Kingo o Na bado jumuia za ki Mataifa zako kimya Maandamano ya wanawake hawa yako wapi?

Ulimwengu ulikuwa mwepesi kupiga kelele kuhusu Gaza, lakini linapokuja suala la wanawake wa Israeli, kuna ukimya huwezi kusikia mtu anapaza sauti karibu ujmują zote za kimataifa ikiwemo UN zimetekwa nyara na waarabu hata siku moja hawajawahi kulaani vitendo vya magaidi hao Red-Cross nao hawajawahi kuwatembelea mateka hata siku moja. Magaidi wa Hamas ni wauaji na wabakaji.
Mashilika ya Haki za kibinadamu yamegoma kuwa kipasa saut cha Propaganda za magaid wa Kizayuni kwasasa wametaka Ushaidi!!!?

Zayuni Ana!!!!!!!!!!

shilika ktk uchunguzi wake likatoa Ripoti kuwa Awakuzibitisha madai ya Ubakaji wala ukiukwaji Wa haki za kibinadam !!!

Ikumbukwe!!! kwa Faida ya Wasomaji wa JAMII FORUMS kwa miaka mingi uko Nyuma Ripoti nyingi Zilikuwa Za Kabumba!!!! za Kuinufaisha Israel au Marekani!!!

kwaiyo Neno Uchunguzi lilikuwa kiini Macho tu lkn Ropoti Lazima Iwe Upande wa ISRAEL au MAREKANI vile wao Wamependekeza iwe!!!!

akuna tofaut ya izo ripot zao na mwamuzi W kati wa Simba na Namungo!!!!!

Kwamaana zilikuwa zinaacha watu midomo Wazi adi baadhi ya Wafanyakazi w kitengo Usika kilochotoa ripoti !!!!!

Lkn Sasa Mashilika yote Yameamua kutenda HAKI awatoi Ripoti za kabumba!!

Pia Wana JAMII FORUMS Faida nyingine hiii mjue Ndio mnaona TRAMP AU PUTO Kwasasa anajitoa kufadhili ayo Mashilika ya UN anadai ayana Faida!!!!!!!!! chekecha ww mwenyewe!

mana Wao siku zote Wanayatumia Kisiasa ktk Alakati za Kupambana na nchi shindani kwao !!!!! Au ichi ngumu kutafunwa rasilimali zake na nchi za West + Marekani!!!!!

kwasasa milokole ya Ukanda Wetu ndio Wamebaki kujibebesha Vichwani mwao Mabango ya Propaganda za Uwongo za mazayuni walokole mzigo kwa Taifa.!!!!
 
Bwana Echolima1 kuna habari nyingi ima huzijui au hujasimuliwa.
1. Media za Dunia na hasa Western ziko' bias '. Mfano, juzi kutwa habari ni kuhusu maiti za watoto 2 wa Israel zilizorudishwa na Hamas. Media hizo haziongelei Watoto zaidi ya 20,000 waliouawa kwa mabomu Gaza. Media hizo haziongelei Watoto waliokufa kwa kukosa Chakula , wala haziongeleo Watoto wanaotangulizwa na Askari wa Israel mbele ili kama kuna mabomu yawalipukie.
Hujaongelea picha za Mtoto (8) wa Palestina wakipigwa risasi mchana kweupe

2. Wewe umepata habari za Mwanamke kunyanyaswa kingono! ni mbaya kama imetokea
Vipi kuhusu Habari zenye uthibitisho wa Picha za Video tena zikitolewa na kuthibitishwa na Mashirika yote makubwa ya Habari na Serikali ya Israel, zikionyesha Askari wa Israel '' WAKIWALAWITI ' wafungwa Wanaume wa Palestina

Hili unasemaje!

JokaKuu
Safi sana mkuu Wataelewa tu Ukweli!!! Japo uyu mfanya propaganda lkn lazima otoke mbioo!
 
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa watekaji wake alimnyanyasa kingono.

Hawa ndio Hamas. Wanawake sio mateka tu; ni waathirika wa unyanyasaji usiofikirika wa Kingo o Na bado jumuia za ki Mataifa zako kimya Maandamano ya wanawake hawa yako wapi?

Ulimwengu ulikuwa mwepesi kupiga kelele kuhusu Gaza, lakini linapokuja suala la wanawake wa Israeli, kuna ukimya huwezi kusikia mtu anapaza sauti karibu ujmują zote za kimataifa ikiwemo UN zimetekwa nyara na waarabu hata siku moja hawajawahi kulaani vitendo vya magaidi hao Red-Cross nao hawajawahi kuwatembelea mateka hata siku moja. Magaidi wa Hamas ni wauaji na wabakaji.
kinachosubiriwa hapo mateka watoke wote halafu gaza ianza upya kusafishwa. ni chafu sana ile panahitaji kusafishwa kabisa pasiwepo na gaidi hata mmoja.
 
Nakushangaa umekuja na maneno mengi ya kujitetea bila kuonyesha FACTS zozote mara walokole Una chuki na WALOKOLE? Kwa taarifa yako tu wao hawana chuki na wewe wala yeyote. Issue hapa ni Hamas ni wabakaji walibaka kuna watu waliowateka wamesema wamebakwa harafu wewe unasema uchunguze uchunguze nini sasa? Jumuia zote ziko kimya likija Saula la Israel lakini likija suala la waarabu utasikia Genocide mara War-Crime, mara unyanyasaji mara Proportionality. Sasa Unajiuliza Hamas walipovamia walifuata hiyo Proportionality? Je walilaani vitendo walivyovifanya? Hawajafanya hivyo na kama ni hivyo kuna haja gani ya kuwa na Red-Cross wakati wahanga wakiwa kwenye taabu zao hata hawawatembelei? Red-Cross wanaonekana kwenye kubadirishana wafungwa tu hiyo ni aibu bora tu ifutwe. UN nayo yaleyale Hamas wamevamia wako kimya Israel imejibu mapigo zinatokea kelele za Proportionality.hakuna haja ya mashirika kama hayo boro yafutwe tu maana hayana maana.
 
Back
Top Bottom