Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Why? Why wanaamua kuwaachilia mateka? Tulikubaliana waache wayahudi waingie Gaza. Kisha tuwazunguke tuwapige kipigo kikali asirudi kwao hata mmoja.
Nashangaa wanapowaachilia mateka. Hawa Israel walikuwa wetu kabisa. Tungewamaliza wote kisha tunamalizia na mateka wao. Hii ilikuwa nafasi adimu kabisa ya kuwafuta Israel usoni mwa Dunia. Sasa nani kawashauri wawaachie mateka?
Sisi tulikuwa tunajua kabisa mipango ya Hamas... Ndo maana tulikuwa tunawaonea huruma sana hawa Wayahudi. Mi nilikuwa nawatizama.... Nasema hiiiiiii..... Nlikuwa najua watakutana na chamoto. Nadhani Hamas wameingiwa na huruma na kuona bora wawaachie ili kuwapunguzia madhara hawa Israel.
Nawashauri Hamas wasikubali kusitisha vita. Hawa wayahudi wameshashindwa kabisa na ndo maana sasa wanarudishiwa tu mateka.
Kiukweli sisi Hamas wa tandale kwa tumbo, vingunguti, maji matitu, tandika, kwa mnyamani, binti madenge n.k. tumekatishwa tamaa sana. Haikupaswa ive hivi. Tumekuwa wanyonge sana.