The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Chezea njaa wewe.
Njemba zinakomaa lakini cha moto wanakiona.
Baada ya Taifa teule la Israel kuruhusu kwa wingi malori yaliyojaa chakula kuingia Gazza Hamas wamefurahi kweli nakuahidi kuachia mateka 6 siku ya jumamosi badala ya watatu walivyokubaliana.
Furaha ya msosi ikawafanya kuwa na mihemko zaidi hiki kikundi uchwara cha kigaidi na nakuahidi kuachia maiti nne za wateule siku ya alhamisi.
Licha ya mazagazaga na mapochopocho Wateule wameruhusu misaada mengine kuingia kwenye huu ukanda uliolaaniwa kama mahema na mobile homes.
Sasa hivi Hamas wataenda maliwatoni kwa furaha na kubadilisha rangi ya kimba.
Kwa upande mwengine hofu imetanda kwa wateule baada ya Hamas kuahidi kuachilia maiti nne teule.
Huenda zikawa za Shiri Bibaz na vijana wake Ariel na Kfir the red Head.
Ikumbukwe huyu Shiri Bibaz alivuta hisia za watu sana tarehe 7/10 2023 akionekana na sura ya mshtuko na uwoga alipotekwa na huku amezingirwa na jopo la magaidi ya Hamas. Mume wake aliachiwa huru majuzi.
Pia tunaomba miili ya ndugu zetu watanzania Wakulima namba moja Joshua Mollel na Clemence Mtenga (Mromboo ) inayoshikiliwa na haya magaidi uchwara yanayopenda msosi tu kuachiliwa mara moja ili tuwazike kiheshima na kikristo.
Hapo chini ni video ya shiri Bibaz walivyochukuliwa mateka na waovu Hamas.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7Y9fHUOhTMY&pp=ygULc2hpcmkgYmliYXM%3D
and 100 others
Nyau de adriz