Hamas waomba ubadilishanaji wa mateka tena

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba.

Hata hivyo kuna sehemu nilisoma kwamba Israel hawana muda tena wa kubadilishana mateka, yaani wao ni kama wamehesabu kwamba wamepoteza hao mateka hivyo ni mwendo wa kulipua na kupiga tu sasa.

============

Hamas' armed wing said on Sunday Israel will not be able to recover any of its hostages unless it engages in talks over conditional swap deals.

Abu Ubaida, the spokesman for the al-Qassam Brigades, said in an audio speech broadcast by Al Jazeera television that Israel will not be able to recover the captives by force, citing what he described a failed operation to free one of them.

He also claimed that Hamas terrorists had partially or fully destroyed 180 Israeli personnel carriers, tanks and bulldozers in 10 days since fighting resumed in Gaza.

Reuters
 
Wafia Kabila La Yesu Hamchoki Mko Busy Kutafuta Panapovuja Huo Muda Tumieni Kujifunza Dini Yenu Makanisa Yamejaa Mambumbumbu Wenye Akili Wachache Ndo Hao Wamewageuza Watu Na Makanisa Vitega Uchumi Vyao
 
Waliwachukua wa nini hao mateka? Wakae nao tu,sisi tuko busy na kufanya usafi gaza. Eti Allahu Akbar
Mama yako au baba yako angekuwa mateka huko ungethubutu kusema hivi? Tuzionee huruma familia ambazo ndugu zao wametekwa.

Au unafikiri mtoto wa kiongozi mkubwa israeli angekuwa katekwa wangesema hawana mpango wa kubadilishana?
 
Walioshikilia mateka ndio wenye uwezo wa kuwaachia, maana ndio waliowakamata mwanzo, walikuta watu kwenye nyumba zao na kuwakamata mateka, Israel haina tatizo kwenye kubadilishana ila hao wenye mizuka yao ya kidni ndio bado wamewashikilia, akiwemo Mtanzania humo ndani.

Sasa kwa vile hawaonyeshi dalili za kutaka kubadilisha, Israel imeamua kutembeza kichapo tu.
 
Mama yako au baba yako angekuwa mateka huko ungethubutu kusema hivi? Tuzionee huruma familia ambazo ndugu zao wametekwa.

Au unafikiri mtoto wa kiongozi mkubwa israeli angekuwa katekwa wangesema hawana mpango wa kubadilishana?
Kwani aliachiwa hatakufa? Kama atakufa na haijulikani atakuje ni bora afe sasa kwa kuuliwa na magaidi , kwa atakufa bila hatia Mungu atamhurumia.

Lakini magaidi waishe.
 
Waliwachukua wa nini hao mateka? Wakae nao tu,sisi tuko busy na kufanya usafi gaza. Eti Allahu Akbar
hawa watu wa hii dini ni wajinga sana. FaizaFoxy kaka zako katika imani wao huwaza kutomb.a tu. What a waste of a religion
Screenshot_20231123-091228_Quora.jpg
 
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000
Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba.

Hata hivyo kuna sehemu nilisoma kwamba Israel hawana muda tena wa kubadilishana mateka, yaani wao ni kama wamehesabu kwamba wamepoteza hao mateka hivyo ni mwendo wa kulipua na kupiga tu sasa.

============================

Hamas' armed wing said on Sunday Israel will not be able to recover any of its hostages unless it engages in talks over conditional swap deals.

Abu Ubaida, the spokesman for the al-Qassam Brigades, said in an audio speech broadcast by Al Jazeera television that Israel will not be able to recover the captives by force, citing what he described a failed operation to free one of them.
Hatamaye Mwanajeshi avishwa Pete uchumba na bwana ake hapa ndio tunapata jibu kwanini wanavaa Pempas

[emoji1134][emoji845]You cannot “gay-marry” in Israel, but Israel recognizes same-sex marriages performed elsewhere.

They need to travel outside … [emoji2369]
IMG_20231211_081549.jpg
 
Wafia Kabila La Yesu Hamchoki Mko Busy Kutafuta Panapovuja Huo Muda Tumieni Kujifunza Dini Yenu Makanisa Yamejaa Mambumbumbu Wenye Akili Wachache Ndo Hao Wamewageuza Watu Na Makanisa Vitega Uchumi Vyao

Kanisa haliendi bila pesa,upande wapili wapo hoi bin taaban kiuchumi hadi kutegemea kuishi kwa kutegemea misaasa ya tende na ujenzi wa nyumba zao kutoka kwa waarabu.
 
hawa watu wa hii dini ni wajinga sana
View attachment 2839185
Sina maana yakuwatukana wala kuwakwaza
Ila msiokua waislam mnatakiwa mujitathmini
Yaani huyu nabii kweli sio tu kwamba hakuna tena nabii ama mtume baada ya Muhammad s.a.w
Ila kwa hawa mnaowaita manabii mujitathmini wanenu na jamaa zenu wakaribu watafanywa sana vibaya nakuonekana hawana akili zaidi
Nasikia nabii wenu alikua na maombi mazito juzi huko Tanzania [emoji1241]
Ndugu zetu mwatakiwa mujitathmini pakubwa sana
FB_IMG_17020436500926051.jpg
FB_IMG_17021074698267342.jpg
 
Sina maana yakuwatukana wala kuwakwaza
Ila msiokua waislam mnatakiwa mujitathmini
Yaani huyu nabii kweli sio tu kwamba hakuna tena nabii ama mtume baada ya Muhammad s.a.w
Ila kwa hawa mnaowaita manabii mujitathmini wanenu na jamaa zenu wakaribu watafanywa sana vibaya nakuonekana hawana akili zaidi
Nasikia nabii wenu alikua na maombi mazito juzi huko Tanzania [emoji1241]
Ndugu zetu mwatakiwa mujitathmini pakubwa sanaView attachment 2839215View attachment 2839216
Ni kweli kwa sasa hakuna nabii wala mtume. Ila Muhammad alikuwa military ruler wala hakuwa na Umungu wowote. Heritage yake mpaka leo ni kuoa watoto (pedophile).

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaa Hamas ni wapumbavu sana.
Wanajua wakisema kuna mbadilishano wa mateka basi Vita itasimama kwa muda (watapata kupumua), watapata misaada na kupata muda wa kujipanga upya. Mayahudi wameshasema, liwalo na liwe, mateka wafe au wawe hai, waachiwe au wasiachie ni mwendo wa kutandika mabomu, risasi kwa kwenda mbele.

Ni usafi wa Gaza.
 
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba.

Hata hivyo kuna sehemu nilisoma kwamba Israel hawana muda tena wa kubadilishana mateka, yaani wao ni kama wamehesabu kwamba wamepoteza hao mateka hivyo ni mwendo wa kulipua na kupiga tu sasa.

============

Hamas' armed wing said on Sunday Israel will not be able to recover any of its hostages unless it engages in talks over conditional swap deals.

Abu Ubaida, the spokesman for the al-Qassam Brigades, said in an audio speech broadcast by Al Jazeera television that Israel will not be able to recover the captives by force, citing what he described a failed operation to free one of them.

He also claimed that Hamas terrorists had partially or fully destroyed 180 Israeli personnel carriers, tanks and bulldozers in 10 days since fighting resumed in Gaza.

Reuters
Hahaaha😂😂Mr uharo yaani habari za Hamas zitoke Reuters😂
 
Hatamaye Mwanajeshi avishwa Pete uchumba na bwana ake hapa ndio tunapata jibu kwanini wanavaa Pempas

[emoji1134][emoji845]You cannot “gay-marry” in Israel, but Israel recognizes same-sex marriages performed elsewhere.

They need to travel outside … [emoji2369]View attachment 2839183

Haya mbona mnayafanya sana tu huko

CQGBAI5W8AAi4mc.jpg
 
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba.

Hata hivyo kuna sehemu nilisoma kwamba Israel hawana muda tena wa kubadilishana mateka, yaani wao ni kama wamehesabu kwamba wamepoteza hao mateka hivyo ni mwendo wa kulipua na kupiga tu sasa.

============

Hamas' armed wing said on Sunday Israel will not be able to recover any of its hostages unless it engages in talks over conditional swap deals.

Abu Ubaida, the spokesman for the al-Qassam Brigades, said in an audio speech broadcast by Al Jazeera television that Israel will not be able to recover the captives by force, citing what he described a failed operation to free one of them.

He also claimed that Hamas terrorists had partially or fully destroyed 180 Israeli personnel carriers, tanks and bulldozers in 10 days since fighting resumed in Gaza.

Reuters
Former IDF soldier speaks about Israeli public opinion during the Israel-Gaza war

257,166 views 3 Dec 2023

Former staff member and former IDF combatant Benzi Sanders talked to Christiane Amanpour on CNN about the "catastrophic mistake" he thinks Israel is making in Gaza. He speaks about public opinion in Israeli society, and what it means to speak out against a military operation that large swaths of the country whole heartedly support.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EhY6nZtGDO0

-------------------------

‘We Can’t Defeat Hamas’ – Israel’s Former Army Chief on the Gaza War

December 9, 2023

Former Deputy Chief of Staff of the Israeli Army, Yair Golan, expressed his view that Israel will not be able to eliminate Hamas in the ongoing war in Gaza.

https://www.palestinechronicle.com/we-cant-defeat-hamas-israels-former-army-chief-on-the-gaza-war/
 
Back
Top Bottom