Hamas wapo tayari kuiweka Gaza chini ya udhibiti wa Marekani

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati ya miaka 5 hadi 10. Katika kipindi hicho, Hamas wataweka silaha zao chini, na kuikabidhi Gaza kwa Marekani, na Marekani itahakikisha hakuna silaha yoyote itakayoingia Gaza, na hakuna mahandaki ya siri yanayochimbwa ndani ya Gaza ili kuingiza silaha.

MAONI BINAFSI
Naona Hamas wameanza kutambua kuwa vita haitawapeleka kokote, zaidi ya kuwaangamiza. Bila shaka Israel itatumia hekima, kutafakari offer ya Hamas.

===

Hamas is offering a truce with Israel for 5 to 10 years, a U.S. official says.​

TEL AVIV, Israel A senior U.S. official who held direct talks with Hamas says the group has proposed a five-to-10-year truce with Israel.

President Trump's hostage affairs envoy, Adam Boehler, told Israeli public broadcasting on Sunday that Hamas has offered to lay down its arms during that period and not be involved in governing Gaza, while the U.S. would take part in ensuring no Hamas tunnels or militant activity would crop up again.

It is the first time Hamas has been known to offer a timetable for a truce. Hamas and Israel had no comment.

In a round of U.S. and Israeli television interviews, Boehler said a new Israel-Hamas ceasefire deal could take hold in a matter of weeks.
 
Hamas has offered to lay down its arms during that period and not be involved in governing Gaza. U.S. would take part in ensuring no Hamas tunnels or militant activity would crop up again
...na hiyo ndio tafsiri yake kwa kiswahili?👇🏿🤔
Hamas wataweka silaha zao chini, na kuikabidhi Gaza kwa Marekani, na Marekani itahakikisha hakuna silaha yoyote itakayoingia Gaza, na hakuna mahandaki ya siri yanayochimbwa ndani ya Gaza ili kuingiza silaha.
 
Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati ya miaka 5 hadi 10. Katika kipindi hicho, Hamas wataweka silaha zao chini, na kuikabidhi Gaza kwa Marekani, na Marekani itahakikisha hakuna silaha yoyote itakayoingia Gaza, na hakuna mahandaki ya siri yanayochimbwa ndani ya Gaza ili kuingiza silaha.

MAONI BINAFSI
Naona Hamas wameanza kutambua kuwa vita haitawapeleka kokote, zaidi ya kuwaangamiza. Bila shaka Israel itatumia hekima, kutafakari offer ya Hamas.

===

Hamas is offering a truce with Israel for 5 to 10 years, a U.S. official says.​

TEL AVIV, Israel A senior U.S. official who held direct talks with Hamas says the group has proposed a five-to-10-year truce with Israel.

President Trump's hostage affairs envoy, Adam Boehler, told Israeli public broadcasting on Sunday that Hamas has offered to lay down its arms during that period and not be involved in governing Gaza, while the U.S. would take part in ensuring no Hamas tunnels or militant activity would crop up again.

It is the first time Hamas has been known to offer a timetable for a truce. Hamas and Israel had no comment.

In a round of U.S. and Israeli television interviews, Boehler said a new Israel-Hamas ceasefire deal could take hold in a matter of weeks.
Ikiwa rais wao anaujasiri wakuwasemea uongo Wairan,Warusi,Wayukrein na mataifa mengine anayotamani kuyaburuza, basi haitashanga kwa huyo mjumbe wao kuwasemea uongo Hamas,Hisbullah,Houth na wengineo atakaofanyanao vikao.
Wamarekani wamepatwa na Janga la viongozi waongo saaana.
 
Amani kwa wote sasa.
Yanini kumwaga damu ya wengine ili wewe uishi?
 
Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati ya miaka 5 hadi 10. Katika kipindi hicho, Hamas wataweka silaha zao chini, na kuikabidhi Gaza kwa Marekani, na Marekani itahakikisha hakuna silaha yoyote itakayoingia Gaza, na hakuna mahandaki ya siri yanayochimbwa ndani ya Gaza ili kuingiza silaha.

MAONI BINAFSI
Naona Hamas wameanza kutambua kuwa vita haitawapeleka kokote, zaidi ya kuwaangamiza. Bila shaka Israel itatumia hekima, kutafakari offer ya Hamas.

===

Hamas is offering a truce with Israel for 5 to 10 years, a U.S. official says.​

TEL AVIV, Israel A senior U.S. official who held direct talks with Hamas says the group has proposed a five-to-10-year truce with Israel.

President Trump's hostage affairs envoy, Adam Boehler, told Israeli public broadcasting on Sunday that Hamas has offered to lay down its arms during that period and not be involved in governing Gaza, while the U.S. would take part in ensuring no Hamas tunnels or militant activity would crop up again.

It is the first time Hamas has been known to offer a timetable for a truce. Hamas and Israel had no comment.

In a round of U.S. and Israeli television interviews, Boehler said a new Israel-Hamas ceasefire deal could take hold in a matter of weeks.
Nenda katafute video ya yule envoy wa trump kwny hayo mazungumzo alivyozumgumzia mkutano wao na Hamas halafu uje kuandika upya....acha kuchukua habari zinazopinduliwa juu chini na ww kuongezea na uongo wako juu halafu unakuja kupost hmu kama watu wte hawaelewi kilichosemwa na kinachoendelea.....
 
Kwahiyo Hamas wameghairi mpango wa Bikra 72? 😦😧
 
Back
Top Bottom