Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii.
Afisa mmoja wa Hamas aliliambia shirika la habari la AFP kuwa wamepata maagizo kutoka kwa uongozi wa juu wa Hamas kuwa warudishe nidhamu katika maeneo hayo ili kuzuia majengo yaliyohamwa kufanyiwa uporaji wa mali