mabomu yamekoma?Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii.
View attachment 2892905
Hamas deploys police, distributes funds in sign of resurgence in Gaza areas Israeli troops have left
Mateka wapo rafa sio maana ndo tafsiri ya ushindi wenyeweWaziri wa ulinzi Israel kasema wanaelekea rafa,niliona info Gaza today kule telegram ikisema Kuna habari kubwa ya kushinda na kuondoka kwa Israel huko Gaza,Ila wameambiwa wasiripoti kwanza
Siyo khani Younis ambako viongozi wa Hamas walikojificha Kama Israel walivyokua wakisema!?..khani Younis kimepigwa hii wiki,mpaka myahudi anakimbia ujue kapigwa na kitu kizitoMateka wapo rafa sio maana ndo tafsiri ya ushindi wenyewe
Rafah ndio hatari zaidi kwa Israel.Misri pamoja na kila hali wanaonekana hawatowaachia Israel wadhibiti mpaka huo kama wanavyotangaza akina Netanyahu,Waziri wa ulinzi Israel kasema wanaelekea rafa,niliona info Gaza today kule telegram ikisema Kuna habari kubwa ya kushinda na kuondoka kwa Israel huko Gaza,Ila wameambiwa wasiripoti kwanza
IDF wameimeishiwa mbinu.Siyo khani Younis ambako viongozi wa Hamas walikojificha Kama Israel walivyokua wakisema!?..khani Younis kimepigwa hii wiki,mpaka myahudi anakimbia ujue kapigwa na kitu kizito
Tunaomba iwe kama hivyo ili walimwengu wajue kuwa kuna Mungu aliyewaumba na kwamba sayansi na teknolojia havina maana mbele ya qadar yake.Mtume (s.a.w) alikuwa na askari 313, ngamia 70 na farasi 2 tu na Makafiri wa Kiquraish wakiwa askari 1000 waliojizatiti kivita, ngamia 700 na farasi 300.
- Waislamu walipata ushindi kwa waliuawa Maqurish 70 wengi wao wakiwa vigogo wa Makkah na waislamu 14 tu waliuawa.
Rejea Qur�an (3:123-124), (8:9-11), (54:45), (8:65), (8:17) na (8:48).
Mafunzo kutokana na Vita vya Badri.
1.Ushindi wa waislamu katika vita unatoka kwa Mwenyezi Mungu (s.w) na sio kutokana na ubora wa silaha na wingi wa askari.
Rejea Qur�an (3:123-124), (8:42-45).
2.Tunajifunza pia namna ya kuwafanyia mateka wa kivita ikiwa ni pamoja na;
kuuawa badala ya kuachwa huru kwa kujikomboa.
- Kuwapatia haki na huduma zote msingi za kimaisha, kibinaadamu na kiutu.
- Kuwalea na kuwafanyia wema na uadilifu kama wanafamilia wengine.
- Kwa mateka wanaoweza kuleta madhara kwa waislamu na Uislamu, ni bora
Rejea Qur�an (8:67-69).
Sasa huku si international forum mkuu unataka na huku tuandike habari za morogoro?nenda habari mchanganyiko forum utakuta habari za manzese na buguruniHaya hayatuhusu.
Tusolve matatizo yetu kwanza tunayo mengi sana, umeme, sukari...
Kuna mtu amekuita kwenye huu uzi?Haya hayatuhusu.
Tusolve matatizo yetu kwanza tunayo mengi sana, umeme, sukari...
Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii.
Afisa mmoja wa Hamas aliliambia shirika la habari la AFP kuwa wamepata maagizo kutoka kwa uongozi wa juu wa Hamas kuwa warudishe nidhamu katika maeneo hayo ili kuzuia majengo yaliyohamwa kufanyiwa uporaji wa mali
View attachment 2892905
Hamas deploys police, distributes funds in sign of resurgence in Gaza areas Israeli troops have left
DUNIA INA WATU WABISHI SANA HII,UNAPOTEZA MABILIONI YA DOLA KUWABONDA ILA WATU NA JESHI LAO LA BUKU MBILI WAPO TU TENA WANAKUBONDA WEWE...KHAAAA!!!Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii.
Afisa mmoja wa Hamas aliliambia shirika la habari la AFP kuwa wamepata maagizo kutoka kwa uongozi wa juu wa Hamas kuwa warudishe nidhamu katika maeneo hayo ili kuzuia majengo yaliyohamwa kufanyiwa uporaji wa mali
View attachment 2892905
Hamas deploys police, distributes funds in sign of resurgence in Gaza areas Israeli troops have left
Wewe uliye Uporoto na wale walio Gaza ni nani wanajua zaidi.Poleni sana, chezeeni USA na siyo myahudi, wametikisa kiberiti cheche za moto zinewarukia, hofu yangu ni wale vijana na wababa waliokamatwa na kuvuliwa nguo, wale watu walipelekwa wapi? Nini hatima yao? Waturudi wakiwa salama bila kudhurika?