Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa.
Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au kukoswa koswa.
Video iliyosambaa mitandaoni hapo jana iliionesha ndege ya shirika la ndege la Arkia ikitua huku makombora ya Hamas na Iron dome yakipigana chenga karibu yake.Haimae ndege hiyo ilitua salama na Israel imesema hakukuwa na madhara yoyote.
Katika video nyengine iliyosambaa kwenye mitandao hiyo ilionesha uharibifu uliotokea kwa baadhi ya majengo uwanjani hapo.
Kabla ya hata makombora haya wasafiri wa kuingia na kutoka Israel wanatumia zaidi mipaka ya ardhini ya mapakani na Jordan na ule wa Misri kutokana na eneo lote la nchi hiyo kutangazwa ni eneo hatari kwa ndege za abiria
Uwanja wa ndege wa Ben Gurion ndio uwanja mama wa wa kimataifa wa Israel na wenye historia ya kupokea mateka waliokolewa kutoka uwanja wa Entebe nchi Uganda mnamo mwaka 1976
Your browser is not able to display this video.



View: https://twitter.com/N12News/status/1733438980694127088?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1733438980694127088%7Ctwgr%5E8a0e203535b5c7771b8efba861e89ee70644c4b0%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.businessinsider.com%2Fdramatic-video-shows-plane-landing-in-tel-aviv-amid-rocket-barrage-2023
 
Hamas piga hao mashoga
 
Sasa imejulikana kumbe magaidi sio kama hao lakini ni wale wenye sare na wanaokalia ikulu za nchi kamili.
Magaidi ni wale walioanzisha vita hii na sio hawa wanaojibu kwa kilichofanywa!
Viva Istrael, angamiza hao magaidi.
 
Magaidi ni wale walioanzisha vita hii na sio hawa wanaojibu kwa kilichofanywa!
Viva Istrael, angamiza hao magaidi.
Magaidi ni wale waliwaua wapalestina mwaka 1947/48 na kuwafukuza wengine kwenye majumba yao wakabaki na funguo za kufuli na sio wale waliojibu kidoga tu okotoba 7 mwaka 2023
 
Mbona kama habari za kujifariji zimeongezeka? Pumzi ya mwisho inakata?
 
Terrorist propaganda trending as usual but leaves the war landscape completely unchanged and tilted in favour of the Israelis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…