Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na masharti ya upinzani," msemaji wa Hamas Abu Obeida alisema katika kipande cha sauti kilichowekwa Jumapili kwenye kituo cha Telegram cha mrengo wa kijeshi wa kundi hilo.
Shinikizo limekuwa likiongezeka kwa maafisa juu ya watu 138 ambao bado wanashikiliwa na Hamas na vikundi vingine vyenye silaha.
Israel imeahidi mara kwa mara kufanya kila iwezalo kuwaokoa mateka waliosalia.
Takriban mateka 110 wameachiliwa kwa jumla- lakini mapatano ya wiki moja ambapo makumi ya watu waliachiliwa yalimalizika wiki iliyopita na tangu wakati huo Israel imeanza tena kulipua Gaza. Viongozi wa Israel wamerudi tena Qatar kuomba mazungumzo.
========================
Palestinian militant group Hamas, engaged in a war with Israel in the Gaza Strip, warned Sunday that no hostage would leave the territory alive unless the group’s demands were met.
“Neither the fascist enemy and its arrogant leadership... nor its supporters... can take their prisoners alive without an exchange and negotiation and meeting the demands of the resistance,” Abu Obeida, spokesman for Hamas’s armed wing, said in a televised broadcast, referring to the release of Palestinian prisoners held by Israel.
Chanzo: BBC