Hivi vifaru vyao wanasema ni vifaru bora kabisa na kimoja bei yake ni dola laki 3 na nusu Hamasi wanavipaga moto tu na makobora ya dola mia mboli tu.RPG 105 yasin zinafanya kazi kuliko Himars.
Ngo ngo ngo hodiiiiHawa wanajeshi wa Israel wanaingia kwenye mtego wa Hamas kijinga sana angalia hii😂
View: https://x.com/oraibtz/status/1734260534894010787?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Asee nimecheka sanaHawa wanajeshi wa Israel wanaingia kwenye mtego wa Hamas kijinga sana angalia hii😂
View: https://x.com/oraibtz/status/1734260534894010787?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
BREAKING:
pumba tupu kwani wale janjaweed pale sudan sio wafuasi wamunyaz munguUislamu ni dini ya amani, Uislamu una huruma, Uislamu haumnyimi mtu ama mwafrika haki kwa udini na ukabila, unatutaka tutende haki kwa wote bila kujali dini, rangi ama ukabila. Kuwa muislamu ni neema kubwa sana kaka
Ahsante sana kuwaunga mkono wapalestina, ubarikiwe sana
Sub haanallahBREAKING:
⚡Mamluki wa Marekani kutoka Ukraini walionekana wakifanya kazi huko Gaza kwa niaba ya Israel
Kampuni ya mamluki ya Marekani, Forward Observations Group (FOG), ambayo hapo awali ilijulikana kwa uwepo wake nchini Ukraine, imedai kuwa na wanachama hai wanaohusika katika mapigano ndani ya Gaza kwa niaba ya Israel.
Akaunti rasmi za mitandao ya kijamii za FOG zimechapisha picha na video nyingi kutoka Israel, zikiwemo maeneo ya kusini karibu na mpaka wa Gaza na Ukanda wa Gaza kwenyewe. Baadhi ya picha zinaonyesha vifaa vilivyopambwa kwa bendera za Marekani na Ukraine.
Tangu Machi 2022, wanachama wa FOG wametembelea Ukraini mara nyingi. Kampuni hiyo inakiri waziwazi kuhusika kwake katika mapigano pamoja na serikali ya Kiev, yaani, katika vita vya Severodonetsk.
Mamluki wa Marekani, mabomu, makombora, anga, meli za kivita, vifaru na baada ya siku 70, mbali na kuua watoto wasio na hatia, walishindwa kukamata hata asilimia 20 ya Gaza.
Watataja wote😂
huu ni uhuni sasaWanaukumbi.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na masharti ya upinzani," msemaji wa Hamas Abu Obeida alisema katika kipande cha sauti kilichowekwa Jumapili kwenye kituo cha Telegram cha mrengo wa kijeshi wa kundi hilo.
Shinikizo limekuwa likiongezeka kwa maafisa juu ya watu 138 ambao bado wanashikiliwa na Hamas na vikundi vingine vyenye silaha.
Israel imeahidi mara kwa mara kufanya kila iwezalo kuwaokoa mateka waliosalia.
Takriban mateka 110 wameachiliwa kwa jumla- lakini mapatano ya wiki moja ambapo makumi ya watu waliachiliwa yalimalizika wiki iliyopita na tangu wakati huo Israel imeanza tena kulipua Gaza. Viongozi wa Israel wamerudi tena Qatar kuomba mazungumzo.
========================
Palestinian militant group Hamas, engaged in a war with Israel in the Gaza Strip, warned Sunday that no hostage would leave the territory alive unless the group’s demands were met.
“Neither the fascist enemy and its arrogant leadership... nor its supporters... can take their prisoners alive without an exchange and negotiation and meeting the demands of the resistance,” Abu Obeida, spokesman for Hamas’s armed wing, said in a televised broadcast, referring to the release of Palestinian prisoners held by Israel.
Chanzo: BBC
Hizo fikra zako tu mfuko wa kujenga Gaza upya umeishaanzishwa Qatar kila nchi anagombania kujenga Gaza, bahati mbaya wewe upati habari za huko unaposhabikia kuna hali mbaya hapa Gaza walishawahi kukaa wakaondoka wenyewe😂 hapo Gaza ni jahanam kwa Israel.basi Israel aendelee kuteketeza Gaza hadi hapo anayeumia zaidi atakapopiga kelele. waanze kufuta magofu kabisa wajenge ya kwao na mashamba yale walime upya wapande mbegu za kwao. nimeshaona walowezi wa kiyahudi wameanza kuchangamkia fursa upande ule wa Magharibi na wanaongea kabisa kwamba wanatamani kurudi Gaza kama ilivyokuwa kabla ya 2005.
Wanaukumbi.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na masharti ya upinzani," msemaji wa Hamas Abu Obeida alisema katika kipande cha sauti kilichowekwa Jumapili kwenye kituo cha Telegram cha mrengo wa kijeshi wa kundi hilo.
Shinikizo limekuwa likiongezeka kwa maafisa juu ya watu 138 ambao bado wanashikiliwa na Hamas na vikundi vingine vyenye silaha.
Israel imeahidi mara kwa mara kufanya kila iwezalo kuwaokoa mateka waliosalia.
Takriban mateka 110 wameachiliwa kwa jumla- lakini mapatano ya wiki moja ambapo makumi ya watu waliachiliwa yalimalizika wiki iliyopita na tangu wakati huo Israel imeanza tena kulipua Gaza. Viongozi wa Israel wamerudi tena Qatar kuomba mazungumzo.
========================
Palestinian militant group Hamas, engaged in a war with Israel in the Gaza Strip, warned Sunday that no hostage would leave the territory alive unless the group’s demands were met.
“Neither the fascist enemy and its arrogant leadership... nor its supporters... can take their prisoners alive without an exchange and negotiation and meeting the demands of the resistance,” Abu Obeida, spokesman for Hamas’s armed wing, said in a televised broadcast, referring to the release of Palestinian prisoners held by Israel.
Chanzo: BBC
Kwani mbona Israel kuna wanaume na wanawake wengi,watazamaji tu wawaue tu lakini hamas.iishe
Kama hiivi…Hao Hamas watapigwa wachakae
Hizo fikra zako tu mfuko wa kujenga Gaza upya umeishaanzishwa Qatar kila nchi anagombania kujenga Gaza, bahati mbaya wewe upati habari za huko unaposhabikia kuna hali mbaya hapa Gaza walishawahi kukaa wakaondoka wenyewe😂 hapo Gaza ni jahanam kwa Israel.
Soma hii kiduchu…
BREAKING:
⚡️The Israeli newspaper Haaretz about the real number of injured Israeli soldiers:
About the false figures of the occupation army spokesman regarding the number of injured people in Israeli hospitals since the start of the war on Gaza.
Army spokesperson's data so far on 1,593 wounded soldiers since the start of operations:
The newspaper revealed the following:
Ichilov Hospital in Tel Aviv treated 148 soldiers
- Barzelazi Hospital (Beersheba) treated 1,490 soldiers
- Assuta Hospital treated 178 soldiers
-Shaare Zedek Hospital in Jerusalem treated 139 soldiers
- Rambam Hospital in Haifa treated 188 soldiers
- Hadassah Hospital in Jerusalem treated 209 soldiers
-Soroka Hospital in the south treated 1,000 soldiers
-Sheba Hospital in the south treated 500 soldiers
A total of 3,852 wounded soldiers, according to Israeli hospital data, plus slightly injured in military mobile hospitals, Which can easily lead to over 7000.
Wanajenga wapi sasa wakati Israel wamesema pale wanapafanya buffer zone kwa miaka kadhaa hadi wahakikishe usalama upo. ulimsikia netanyahu au hukumsikia?Hizo fikra zako tu mfuko wa kujenga Gaza upya umeishaanzishwa Qatar kila nchi anagombania kujenga Gaza, bahati mbaya wewe upati habari za huko unaposhabikia kuna hali mbaya hapa Gaza walishawahi kukaa wakaondoka wenyewe😂 hapo Gaza ni jahanam kwa Israel.
Soma hii kiduchu…
BREAKING:
⚡️The Israeli newspaper Haaretz about the real number of injured Israeli soldiers:
About the false figures of the occupation army spokesman regarding the number of injured people in Israeli hospitals since the start of the war on Gaza.
Army spokesperson's data so far on 1,593 wounded soldiers since the start of operations:
The newspaper revealed the following:
Ichilov Hospital in Tel Aviv treated 148 soldiers
- Barzelazi Hospital (Beersheba) treated 1,490 soldiers
- Assuta Hospital treated 178 soldiers
-Shaare Zedek Hospital in Jerusalem treated 139 soldiers
- Rambam Hospital in Haifa treated 188 soldiers
- Hadassah Hospital in Jerusalem treated 209 soldiers
-Soroka Hospital in the south treated 1,000 soldiers
-Sheba Hospital in the south treated 500 soldiers
A total of 3,852 wounded soldiers, according to Israeli hospital data, plus slightly injured in military mobile hospitals, Which can easily lead to over 7000.
hao 80 ni wa kwao hamas. Israel wanajeshi wake wote wanaouawa wanawatangaza wazi, hakuna siku walishawahi kuzidi 5. icho kitu hakipo.
IDF sio vyuma kwamba hawafi lakini wanapokufa ni wachache sana ukilinganisha na magaidi tena wanakufa kwa maslahi mapana ya nchi yao na kuikomboa palestina kutoka kwa magaidi ya Hamas.