Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Nakumbuka kesi ya Zombe et al.

Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa.

Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa haki.Unapoona watu wanaamua kuchukua sheria mikononi ujue kwamba imani yao kwa mfumo wa haki imeshuka.

Swali la kujiuliza JE HAMZA alikuwa ni kichaa au ni mhanga wa MFUMO WA HAKI ULIOOZA?Najua IGP tayari anazo taarifa za chanzo cha vijana wake kuwa TARGETS,hataki kusema ukweli,kitu ambacho hajui ni kwamba THIS is JUST the BEGINNING.Wasipoweka rekodi sawa kuhusu swala la HAMZA kuna uwezekano wakaibuka wakina HAMZA wengine.

Je tutarajie kwamba SIRRO atasema ukweli au ataamua kujificha nyuma ya Propaganda na kuwaacha wale askari wake walokufa wawe walikufa BURE.Je Askari wako SALAMA kama wataanza kuwa TARGETS wa watu waliodhulumiwa na askari wengine?

Kitendo cha HAMZA kufanyika mbele ya umati wa watu bila kificho akionesha kuwalenga askari kinaleta tafsiri gani?Ukizingatia kuwa HAMZA alikuwa KADA wa CCM ina maana ni mtu mwenye influence/connection ndani ya Chama.Swali ni JE mlimkosea nini mpaka akaamua kuwafanya askari kuwa TARGET yake?Maana ile haikuwa RANDOM killing,ilikuwa ni Targeted Killing.

Nakuuliza IGP SIRRO unaficha nini kuhusu HAMZA?Kama wewe hujui ni nani anayejua?

Nakutakia Kazi NJEMA
 
Back
Top Bottom