Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu
Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi
Ati kwamba Mtanzania wa Sasa utamnyamazisha Kwa hongo ya baiskeli na fulana ya CCM, aaah sio kweli
Makundi yote ya vijana na wazee wote wamestuka kuibiwa na kupumbazwa Kwa muda mrefu
Hadi askari wetu nao wameamka kuwakataa mafisadi na kuungana na Wananchi, wamechoka kulinda amani ya mafisadi na huku wao wakiwa na njaa kali
Mitandao watu wanafatilia zaidi siasa
Mafisadi yanahara Kwa hofu
Mgombea wao anawaza mno
Hata akijiapisha lakini hatatawala Kwa amani
Mafisadi hayajui yadhibiti wapi, mtandaoni Kuna moto, nyumba za ibada moto, media za kimataifa moto, vijiweni moto
Mafisadi yamehonga Sasa yamechoka
Nina uhakika baada ya mwaka 1 anaweza akajiuzulu
Hamana kitu hapoWatanzania wameamka mno

Hamana kitu hapo
Tumechoka Mafwele huwezi tumaliza wote
Moyo ganiJipe moyo
Moyo gani
Hamana kitu hapo
Ngoja tuone mwisho wakeSoma kichwa Cha habari
Yajayo ni magumu Kwa chama tawala
Kila mbinu wanayo tumia wanazidi kujiharibia
Ngoja tuone mwisho wake
Mkuu yupi huyo aliyeanguka hadharani ?Ni kweli majani hawana amani, wengine wanatamani hata Oktoba 29 isifike, wengine hadi viongozi wamevulugwa na kuanza kubananga maneno, yule mkuu wa kitambo jana kazingua akaanguka hadhalani, mwingine nae huyu leo kaita wenzake mazwazwa mbele ya camera, yaani wamevulugwa hadi wamesahau siasa ni mchezo wa maigizo, badala ya kuigiza kama walivyo zoea wanatoa makucha mchana kweupe.
Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu
Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi
Ati kwamba Mtanzania wa Sasa utamnyamazisha Kwa hongo ya baiskeli na fulana ya CCM, aaah sio kweli
Makundi yote ya vijana na wazee wote wamestuka kuibiwa na kupumbazwa Kwa muda mrefu
Hadi askari wetu nao wameamka kuwakataa mafisadi na kuungana na Wananchi, wamechoka kulinda amani ya mafisadi na huku wao wakiwa na njaa kali
Mitandao watu wanafatilia zaidi siasa
Mafisadi yanahara Kwa hofu
Mgombea wao anawaza mno
Hata akijiapisha lakini hatatawala Kwa amani
Mafisadi hayajui yadhibiti wapi, mtandaoni Kuna moto, nyumba za ibada moto, media za kimataifa moto, vijiweni moto
Mafisadi yamehonga Sasa yamechoka
Nina uhakika baada ya mwaka 1 anaweza akajiuzulu
Kule msoga...Mkuu yupi huyo aliyeanguka hadharani ?
Nimeuliza ili mgombea atangazwe mshindi Tanzania anahitaji kura ngapi?Huna akili