GE2025 Hamasa ya Watanzania kwenye masuala ya siasa inatishia amani ya mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mwaka 1 mbona mbali hivyo. huyu tar 29 haendi popote
 
Nimeuliza ili mgombea atangazwe mshindi Tanzania anahitaji kura ngapi?

Akipata nyingi kuliko wenzake, vipi watu wasipojitokeza na wachache wakapiga kura, je zinatosha kumtangaza mshindi?
Kura zipi mdau?! Za kutengenezwa au zile za raia watakaopoteza muda wao na kupigwa na jua?
Kushinda LAZIMA ashinde, iwe raia kupiga au wasipige KURA/KULA KWAKE...
 
Hili nmeliona...hata kwenye mpira ile hamasa imepotea jana simba anacheza kwa mkapa mashabik wa kuhesabu...nmefurahi sanaa cz hii ni alert kwa watawala due walikuwa wanatumia mpira kuwapumbaza wananchi..ila kwa sasa wameshtukia.....naona siku zijazo mbelen watz tunaenda kuwa kama wakenya kwa kufocus na mambo ya nchi kwa kuachana na masuala ya mpira
 
Kura zipi mdau?! Za kutengenezwa au zile za raia watakaopoteza muda wao na kupigwa na jua?
Kushinda LAZIMA ashinde, iwe raia kupiga au wasipige KURA/KULA KWAKE...
Kura hizo hizo za wizi na kutengenezwa ushindi, kuna wale familia zao wana kula kwa kodi zetu hao watajitokeza kisha watazi multiply kwa ma milioni na kujitangaza.
Saaa tunatokaje hapo?
 
Mgombea ubunge kwenye nafas ya uraisi 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…