Hamasa ya zitto na taifa stars!

Hamasa ya zitto na taifa stars!

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
289
Reaction score
192
Binafsi napendezwa na UZALENDO wa ZZK katika TAIFA STARS amekuwa na morale ya aina yake katika Timu yetu!!Nakiri kupendezwa nalo,Amekuwa Mmoja wa WANAHARAKATI wa kutetea HAKIMILIKI za Wasanii kupitia Ringtones yaani kupitia Mrabaha wa #RTB na kwingineko. This guy amejipambanua VILIVYO katika MICHEZO na BURUDANI.

Nimesikia leo anatambulisha GLORY song wa TAIFA STARS,kuendeleza hopes za #T2014BRAZIL !
I liked that hutakiwi kuwa M'CDM kupenda hili. Anyways wapo watakaokuja kuleta kasoro zake. But ZITTO he is a best!
Na kama kucheza KARATA za SIASA basi anajua.
 
Back
Top Bottom