Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sio kwamba wamezitoa sadaka tena?Yanga nao wame sold out ticket zote za mzunguko
Mashabiki wao wako punctual sana
Sio kwamba wamelipiwa na mwarabu? π€£π€£π€£Yanga nao wame sold out ticket zote za mzunguko
Mashabiki wao wako punctual sana
Na wanavyopenda vya dezo [emoji196][emoji196] fans wanajimwambafu sana kulipiwa kiingilio huku viongozi wao wakitembeza kibakuli kwa njia ya kubet buku 2[emoji23][emoji23]Sio kwamba wamelipiwa na mwarabu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jiran katoa ticket sadakaπ€£eti tendeh za futariiSio kwamba wamezitoa sadaka tena?
Ipo siku yatawafika mambo mabaya kwa kupenda kwao dezo. π€π€£Sio kwamba wamelipiwa na mwarabu? π€£π€£π€£
Walitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta haoIpo siku yatawafika mambo mabaya kwa kupenda kwao dezo. π€π€£
ππ€£ Sipati picha kama Kabwili angekuwa bado yuko Yanga na Kabwili Day ikafika. Sijui wangefanywa nini tu hawa Wenyeuchi (sorry, Wananchi) wa Yanga?Walitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta hao
Vipi mo alishakuacha? Nasikia wewe ndio ulikuwa mbadal wa Babra kupakwa futa πWalitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta hao
Masandawana!
π πWalitestiwa kwa kupakwa bleach, kuna siku watapakwa mafuta hao
Ni sold out kabisa tena iliyo break na rekodiSio kwamba wamezitoa sadaka tena?
Kama mechi ya Namungo tu mashabiki wa Namungo hawalipiwi tiketi sembuse kwa Yanga ambayo ni timu kubwa tena kwenye mechi kubwa?Sio kwamba wamelipiwa na mwarabu? π€£π€£π€£
Naunga mkono hojaNa ukienda tiketi unapata