BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kamuulize Prince CharlesHuyu bwana mdogo amepewa lini title ya "Sir"?
š²hamilton ni bwana mdogo!?Huyu bwana mdogo amepewa lini title ya "Sir"?
Oh sina taarifa yake. Inawezekana familia ya kifalme ni fans wa huyu jamaa.š²hamilton ni bwana mdogo!?
Hyo alipewa na malkia mwenyewe
alafu nilikosea hakupewa na malkia bali mfalme charles.ila ni kweli kapewaOh sina taarifa yake. Inawezekana familia ya kifalme ni fans wa huyu jamaa.