Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Ubungo Ndugu Hamis Abeid Baruani leo 29.6.2025 amechukua fomu rasmi ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuwania Ubunge wa Jimbo la Ubungo.
Hii ni mara ya pili kwa Hamis Abeid Baruani kuingia kwenye mchuano wa Ubunge Jimbo la Ubungo baada ya mchakato wa 2020 baada ya kutopata kura za kutosha.