Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hii itakuwa kazi ya Hamis Kigwangala. Huyu ndiyo alimchonga mjomba wake akaja kutuambia ni Hayati Baba Wa Taifa J.K Nyerere. Alipoonesha watu kwa mara ya kwanza wakawa hawaelewi anawaonesha sanamu ya nani.
Ndiyo mmoja mtu mzima mwana CCM kindaki toka miaka ya 70 akauliza hiyo sanamu ya nani? Kigwangala akamkazia macho, "We huoni kama ni Nyerere huyo?".Yule mzee akasogea karibu kabisa na lile sanamu. Akaangalia kama dk 5 nzima, akafikicha macho akaangalia tena huku akiwa ameyatumbua.
Akamuita mtoto wake na kumwambia aangalie aseme ni sanamu ya nani. Yule mtoto akasema hafahamu kwa kweli. Kigwangala akatangaza kuwa kwanzia sasa hiyo itakuwa ni sanamu ya Nyerere. Watu wakaguna. Akasisitiza, kuwa huyo ni Nyerere. Tena ukisogea karibu ni Nyerere mtu.
basi wakaamua kukubaliana kuwa hiyo sanamu imeamuliwa iwe ni ya Nyerere. Sasa leo tunakutana na Kigwangala mwingine. Anatuambia huyu ni Sadio Kanoute. Oooh, sorry i meant Sadio Mane.
Nisikuchoshe, Usinichose na tusichoshane. Its Kigwangala again!