Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Tarrifaya Tar 23 hadi leo tar 27?
 
Yaani doc, nimesikitika sana, umeshindwaje kudhibiti hasira zako hadharani?

Kwanini uwe gumzo kwa migogoro na wafanyakazi wako, hasa kwenye kuwanyima haki zao?

Haya yetu macho
Mtaji kapata bule hicho kiwanda kapata bule,huo mtaji anautumia kama angekuwa kuangaika kama wakina bakharesa jambo Kishimba ndege sela asinge jaribu ujinga huu haya ndio madhara ya pesa ya bule
 
Naam umenena vema nlitaka kuandika the same ila nakazia.
Jamaa ana kiburi yaan hasira kidogo tu kashaitoa. Tena walikua viunga vya palepale ofisi za Ccm
 
Kuna moja umesahau

Ova
 
Hii ya Tatu basi Moja pia walitoleana na katibu wake nadhani walikua wanagombea Demu enzi Yuko waziri WA maliasili km sikosei
Atakuja kuua Huyu mtu maana ana shida ya akili Huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…