Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

Huyu mheshimiwa ni kati ya wanasiasa ambao huwa sichoki kuwasikiliza hususani wanapofanya mahojiano juu ya masuala mtambuka.
 
Sisi watu wa mbali tunamuona kama mjivuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…