Hamis Kiiza 'Diego' aipasha Simba SC!

Sasa Mkuu, unamfananisha Emanuel Anord Okwi [CR7 wa Uganda] na Hamis Kiiza kweli??? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwahiyo mchezaji akiwa mzuri ruksa kutokuwa na nidhamu?
 
Subiri nijipigie Oct. 1 nijifariji na kipigo cha Medeama.
Hahaha.. Mkuu na vipigo vizito toka kwa Mo Bejaia na TP Mazembe vinavyofuata, utajipoza lini?
 
Kwahiyo mchezaji akiwa mzuri ruksa kutokuwa na nidhamu?
Sina maana hiyo.. Ila Mkuu ya Okwi tuachane nayo.. Mana huyu Okwi hakua mchezaji wa kawaida hata kidogo.. Ndo mana kakosa kake kamoja ka uchelewaji kalishindwa kuyafunika mazuri [furaha] lukuki aliyokua akitupatia week in week out.

Sasa huyu Kiiza... Mara leo kachelewa, Mara kesho anataka kusababisha wachezaji wenzake wagome, Mara keshokutwa anagombana na Kocha wake Mkuu [raia mwenzake toka Uganda].. n.k

Nadhani hata hapo mitaa ya Jangwani, hizo ndo sababu kuu zilizowafanya mumtupie virago.
 

Very true jamaa alikuwa anajitahidi ila shida ya waganda ni majivuno
 
Amekuwa mwanasiasa...yeye ni mchezaji, mambo ya kiufundi na uchambuzi awaachie wenye fani zao.
 
Anaye lalamikiwa kila mara yupo na anajulikana, najua habari hii imekwisha mfikia, sasa ingekuwa vema akatumia busara kuwapisha wanachama wengine wa Simba wenye uwezo kama yeye au hata kumpita yeye kuiandaa timu kwa ajili ya msimu ujao!
Coward..mtaje kaburu
 
We ni taahira kama matahira wenzako...mtu unayeipenda simba lazima uwe mkweli kwa kusema ukwli....unaposhabikia kimahaba mpaka uozo ujue ni we taahira
 
Okwi kawahi kufunga magoli 19?
Okwi hakuwahi kufunga Magoli 19.. Ila kwa kukusaidia;

Katika historia ya soka Tanzania katika miaka ya hivi karibuni hajawahi kutokea kiungo aliyeheshimika sana kama Patrick Mutesa Mafisango.. Na hii heshima si kutokana na ufungaji wake.. Bali ni kutokana na kazi nzito aliyokua akiifanya uwanjani.
 
Anamshinda Kamusoko....mara zote wakati wake simba ilitolewa caf mapema.ila rasta kacheza makundi caf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…