kwa hyo wewe hujui dunian pote wachezaji huwa wananunuliwa kutoka katika vilabu tofauti?
Mkuu Maftah hakufanya vizuri akiwa simba, nadhani simba ndo imempoteza maftah kwenye ulimwengu wa soka.Mkuu usiwasahau Amir Maftah, Juma Kaseja na Emmanuel Okwi nao walitoka Yanga na kwenda Simba na walifanya vizuri sana.
We mpumbavu kabla ya kunakili kilichoandikwa na Watu8 jifunze kwanza ustaarabu na lugha yenye staha...
Mkuu mbona hasira?football ni fairplay.
Nilikuwa namkubali sana huyo jamaa bas tu yanga tuliteleza tu
Mkuu Maftah hakufanya vizuri akiwa simba, nadhani simba ndo imempoteza maftah kwenye ulimwengu wa soka.
Umesoma vizuri sentensi yake lakini mkuu?
Yeye ndiye aliyeanza kuandika lugha ya kejeli ilihali jukwaa hili watu tunaheshimiana pamoja na utofauti wa ushabiki wetu...
kumanisha...!!?
Amir Maftah hakufanya vizuri akiwa Simba??? Maftah yupi huyo!! Ile invincible ya simba naye si alikuwa sehemu ya ukuta kama niko sahihi? au!!
Kiiza mpira ulishakwisha huyo...
Kama Dan Sserunkuma alishindwa kucheza mpira akiwa Simba, sioni winga yoyote wa Kiganda kwa sasa kufanya maajabu yoyote hapo Msimbazi...
Kweli mkuu nilishangaa sana siku nasikia kandambili mnamuacha Kiiza, nimefurahi simba wamemwona labda atatusaidia
Nafurahi kuona kuwa Simba nao wameanza zoazoa ya matakataka ya Yanga kama vile sisi Yanga tulivyozea kuzoa matakataka kutoka Simba.
Hapa equation inakuwa balanced:
Young Africans SC = Simba SC
Ni kweli, ila mfumo ndo unamtengeza mtu, alikuwa mtu wa magazetini sana sababu mfumo wa yanga ndo unataka hivyo!Mnhhhhh,,,,naomba kudeclare interests...mie ni mpenzi wa simba na soon nitakuwa mwanachama wa simba.
Usajili huu naona umeshinikizwa na okwi ili kumpata partner wake...na viongozi wa simba wakiamini kuwa okwi anahitaji msaidizi waliyezoeana kama kiiza...ila tatizo lipo hapo.
Kiiza alivyokuja yanga alijifunza ustaa badala ya kucheza mpira,....analewa sifa tofauti na okwi anayesikia raha kucheza mpira kuliko kusifiwa.
Kiiza atakuwa mzuri iwapo atakubali kufanya kazi ya kucheza mpira na sio kuendekeza sifa za magazetini.
Ni hayo tuu.
Mkuu Maftah hakufanya vizuri akiwa simba, nadhani simba ndo imempoteza maftah kwenye ulimwengu wa soka.
Tuwe na shukrani wabongo, leo kweli wamponda Kiiza kisa kaja simba?? Mlimuacha sio kwamba aliwasaliti.Nafurahi kuona kuwa Simba nao wameanza zoazoa ya matakataka ya Yanga kama vile sisi Yanga tulivyozea kuzoa matakataka kutoka Simba.
Hapa equation inakuwa balanced:
Young Africans SC = Simba SC
Kama kiiza ni fundi ilikuaje simba wakaacha kumchukua baada ya kuachwa na yanga na badala yake wakakimbilia kumchukua serunkuma
Kama kiiza ni fundi kwa nn alikosa timu ya kuchezea muda wote baada ya kuachwa na yanga