Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34

Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea.

Mchezo huo wa ufunguzi wa kufuzu mashindano ya mpira wa kikapu Afrika umechezwa Juni 17, 2023 katika Uwanja wa ndani wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo ya kanda ya tano yanashirikisha nchi tano ambazo ni Tanzania, Burundi, Rwanda, Sudani ya Kusini na Eritrea, ambapo timu mbili ndizo zitakazofuzu kushiriki mashindano ya Afrika yatakayofanyika mwezi Julai 2023 Nchini Angola.View attachment 2660779View attachment 2660781View attachment 2660780View attachment 2660785View attachment 2660783View attachment 2660786View attachment 2660787
IMG-20230617-WA0238.jpg
 
Back
Top Bottom