Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Apr 5, 2025 #1 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na ujenzi wa ofisi 14 za chama zilizopo katika kata. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hatua hiyo imefanyika kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya Wilaya kilichokuwa na lengo la kuboresha ujenzi wa ofisi za chama. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na ujenzi wa ofisi 14 za chama zilizopo katika kata. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Hatua hiyo imefanyika kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya Wilaya kilichokuwa na lengo la kuboresha ujenzi wa ofisi za chama. Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 6, 2025 #2 Kila la kheri zake... Cc: Mahondaw