warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Naona Hamisa anamrushia dongo aliyekua laaziz wake kupitia wimbo mpya wa Nandy uitwao KIVURUGE.
Mrembo huyo amekua akirusha audio clip ya wimbo huo kwenye ukurusa wake wa instagram kuonyesha kuukubali na kuguswa na wimbo huo wenye ujumbe mzito wa kimapenzi.
Ila kanyimbo katamu jomoni, huu wimbo angeimba Hamisa i guess ungefika mbali sana maana mashairi yamegusia hali halisi iliyomtokea mrembo huo na aliyekua mpenzi wake, Diamond Platnumz.