Hamisa amuita Diamond "Kivuruge"

Ila nyie tuseme ukweli, Tununu mzuri bhana jamani, yupo kama mdoli sema kwa zari ndo vile juu ako Classic na pía mzuri ana pesa, ila hamisa kazuri kale katoto
Siku hizi anajikondesha hata si mzuri. Kidevu kinabaki kuzid urefu
 
Ila nyie tuseme ukweli, Tununu mzuri bhana jamani, yupo kama mdoli sema kwa zari ndo vile juu ako Classic na pía mzuri ana pesa, ila hamisa kazuri kale katoto
Hamisa ni mzuri sana warumi .
 
Mama wa nyumbani/gori kipa anatapatapa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…