Hamisa Mobeto adai kutokuwa na mpenzi

Hamisa Mobeto adai kutokuwa na mpenzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Pic Updates.jpg

Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.

"Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi.

Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua," alisema Hamisa.
 
Labda aseme hana msururu wa mabwana but mpenzi anae, ila nampendaga sana huyu binti
Picha tafadhali Tyta
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kumjua mpenzi wake, mwenyewe tu simjui ndo namsikia hapa leo bdo sijamjua wala kumwona
 
this means she lonely and searching....INVITATION TO TENDER.. wenyenazo wahini fasta...
 
Back
Top Bottom