Kabla ya kumjua mpenzi wake, mwenyewe tu simjui ndo namsikia hapa leo bdo sijamjua wala kumwona
wewe mdaku ungekuwa humfuatilii usingefungua uzi huu, wala usingekoment kwenye uzi huu.Kila mtanzania atajua, nani kamwambia watanzania tuna muda mchafu wa kumfuatilia
wewe mdaku ungekuwa humfuatilii usingefungua uzi huu, wala usingekoment kwenye uzi huu.
mi sionagi uzuri wake huyu dem, vishavu vyake sijui vimekaaje
Modo maarufu Bongo,
.