Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Huyu kijana hamisa amemtoa wapi jamani mbona mzuri hivi?
Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzuri kwa lipi weka nyama kidogo mkuu hata ka picha piaHuyu kijana hamisa amemtoa wapi jamani mbona mzuri hivi?
Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
Mtamu balaaMzuri kwa lipi weka nyama kidogo mkuu hata ka picha pia
Huyu kijana hamisa amemtoa wapi jamani mbona mzuri hivi?
Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
Wewe yule mzuri bna.unaweza kumlia ugali etiMwanaume hawagi mzuri [emoji23][emoji1787]. Kikubwa responsibility azimudu, otherwise hamna kama uzuri [emoji120]
Yule lazima arogwe.atakuja bongo kwa mguuMsiende kuroga sasa maana nyie wanawake mna roho iliyopinda kama korosho za kibiti.
Mwanamke ndiye hua mzuri. Not menWewe yule mzuri bna.unaweza kumlia ugali eti
Weka picha basi
Ahahaaa huyu nani tena?
Mmmmh shosti hebu nimuone?Hata wangu mzuri kuzidi huyo Josh
SiweziMmmmh shosti hebu nimuone?