Hamisa mobeto amepata mpezi mzuri dunia nzima

Uzuri wake hata bongo wengi tu wamejazana ,sema huo uzuri wanaomsifia awe nao hadi kitandani .
 
Waaafrica sisi Wa ajabu sana mana Sabrina mwenyew apo na uzuri wake anaeza muiba akalete mwingine uku bongo kuna wapokezi saanaa wakina shilawadu maybe ajisahau
 
sijaona mantiki ya neno mzur,i hapo pasipo kuwa na picha .
bila shaka wengi tunafahamu sifa ya mwanaume mzuri ni yule ambaye.

Anajituma na kujiheshimu

mchapakazi na mnyenyekevu

mwenye kutambua majukumu yake..
wajibu wake hafanyi kama hisani.
N.k huo ndiyo uzuri wa mwanaume


Nje ya hapo hana tofauti na mwanamke
kuwa na mwenza mwenye sura&umbo zuri pasipo kujitambua ni sawa na Kichwa pasipo Akili
 
Yaani mimi narudi mara mbilimbili kwenye page ya chuchunge kula kwa macho halafu kumbe Misa anajua kizungu hehehee
 
Naona watu mnaparuana ...
Kutumia neno mzuri kwa mwanaume ni kumkosea heshima...wanaume hatuumbwi tuwe wazuri....wanawake ndo Mungu anawaumba wazuri ili wavutie...wawe kama pambo.....ili mtu ukitoka mihangaikoni ukimuona mkeo roho inapata amani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…