mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kipindi niko chuo boom likiingia hakuna kusoma mpaka liishe au itangazwe test,nitasomaje na accont ina milioni moja?milioni moja ndio,kwa miaka ile kwa mwanafunzi ni hela nyingi sana,kipato cha wanafunzi wa chuo kinazidi walinzi na vibarua wa viwandani.
Huyo ndio Prince Dube,moaka hela za GSM ziishe ndio atajitafuta. Milioni 600 alizopewa zinamzuzua.
Tangu zamani tulisema Hamisa Mobeto anatembelea nyota za watu kwa manufaa yake na akiwa naye lazima nyota yako ifubae,hii ni code huwezi kuiekewa kama huna jicho la tatu,kuna msanii mmoja mkubwa nchini hatembeagi na mwanamke mwenye nyota iliyofubaa,siku zite huwa ana date na wanawake wenye nyota,si ajabu wewe uko masikini sababu ya mpenzi uliye naye ni mwizi wa nyota.
Clatus Chota Chama miaka zaidi ya 35 wewe sio Ronaldo wala Messi umeshazeeka,kila mtu anajua una mechi zako,GSM alikusajili kuwafurahisha mashabiki wa Yanga milioni 400 ulizopewa haziakisi mchango wako kwenye timu.