Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Hamisa Mobetto amempa mtoto wake jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.

Jina hilo ni la Babu yake anayeitwa Abdul. Jina la Diamond ni Naseeb Abdul.

Last week, kamera za Shilawadu ziliinasa familia ya Diamond ikiwa hospitali aliyokuwepo Hamissa baada ya kujifungua, soma VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

 
Heheeh mi nasubiria tu ,maana daimond kakataa so tuone picha ,,halaf ndio inatokea wanafanana hatare na daimond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…