miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
Kwa kweli mpaka mie nashangaa kwann asizae ye si mwanamke kama wanawake wengine wabongo wakikomalia kitu mpaka wanaboaHivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...
niondoke ili kitokee nini labda? akitaka azae alete hapo nyumbani nalea na shule nitafungua .. uwii tena zari aongeze manjonjozari haondoki aende wapi? yupo kimaslahi tu pale.ungekuwa wewe ungeondoka?
Diamond anakataa for the sake of his music business. Otherwise he knows that the child is his.Heheeh mi nasubiria tu ,maana daimond kakataa so tuone picha ,,halaf ndio inatokea wanafanana hatare na daimond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hivi ukipata followers wengi nini hasa utakachoambuliaanataka followers wengi haraka haraka.. mjini mipango
Kwanin aende mbali wakati warembo anawaacha hapahapa bongolandAseee yaani ndipo unapojua Wanaume wote niwa mama mmoja same Ivan same diamond pole zari ,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
nakwambia hawa ndo kardashian wa bongo etiiiπππganja gal unapenda umbea wewe
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
yaani me nafatilia movie kwa ukaribu kabisa hapa na popcon zangumadale sio watu wa sport sport zari nae ana roho ngumu moto utawaka soon
Sister haujambo?Aseee yaani ndipo unapojua Wanaume wote niwa mama mmoja same Ivan same diamond pole zari ,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni kweli mtoto wa daihalafu she feels so proud as if it is something normal,
mtoto wa kagame uyoo lol,,,,tunaogopa kueka sura zetu apa msije kuota usiku mnakimbizwa na mizukakama huyo wa dp ni wewe basi wewe ni mzuri nathubutu kunyanyua kinywa changu kusema WEWE NI MZURI
Kagame ana mabinti wangapiimtoto wa kagame uyoo lol,,,,tunaogopa kueka sura zetu apa msije kuota usiku mnakimbizwa na mizuka
Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hvhalafu she feels so proud as if it is something normal,