Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Hamisa anajua anachokifanya hawezi tu kuamua kumpa jina la baba ake diamond mtoto wake
Kabisa halafu mimi nashangaa wanaomsema hamisa kuwa anajipendekeza, tuliona familia nzima wameenda kumuangalia means wanamtambua.

Diamond ni mfanyabiashara na ni mwanamziki anajua anatakiwa afanye nini, ikiwa pembeni anamuhudumia mtoto vizuri sioni shida, na mpaka hamissa kaandika hivyo inaonekana ana baraka zote.

Ila Hamissa awe mjanja atafute shughuli ya kufanya, kuna leo na kesho asitegemee child support peke yake
 
Na usikute diamond mwenyewe katoa jina la baba yake hapo kwenye kuwa mjanja umeongea mda ni huu akichelewa ataishia kuendelea kuzalishwa na mondi
 
Hivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...
Umeingia jukwaa hili kwa bahati mbaya au?Unajua maana ya celebrity forum?Wenye mengi ya kufanya hawaingii jukwaa hili!
 
Heheeh mi nasubiria tu ,maana daimond kakataa so tuone picha ,,halaf ndio inatokea wanafanana hatare na daimond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna mwanaume anaweza kukubali sehemu ambayo anamaslahi yake mganda hawajui wa tz kadanganywa sana na mtoto wa tandale anamdanganya ili amchote vizuri kina babu tale wote wanamla kisogo du mbaya sana hii tena unajitapa hasa mtoto sio wake kama alikuwepo wakati wanamtengeneza alee mtoto wa ivan huyo nilan sisi tunalea Abdul
 
Cha ajabu ni kipi? wangapi wamezaa nje ya ndoa sembuse hao Zari na Dai ambao hawajaoana
 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake

Kwani zari aliolewa dini yake inaruhusi labda mtandale katafuta pa kutoka kwa mganda kwa amani na akataka kujaribu mbegu yake kwa mbogo maana watoto wake wote wawili wana utata wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…