warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Sasa Mama tawile umetoka kwa diamond unaenda kwa billnass? Au ndo stress zinakusumbua? , na Nandy si ni shoga yako jaman ? Yani mastaa wa bongo kwa kushea ndo wanaona fashion , Ila shoga yangu umechacha, kutoka mrs dangote mpaka mpaka kwa balozi wa unga, kweli ukistaajabu ya musa.. mi nikajua utaenda kudate wanaume wa maana, akili zako zikakutuma udate na billnass? ,si unasemaga unatembea na mabwana wenye pesa wewe? Sasa billnass Ana pesa gani ? Mxieew hovyo