Hamisa Mobeto: Diamond anilitia gundu

Amejiweka pembeni??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba ye ndo kamuacha diamond?? Hahahaaaaaaa
 
Its not good bad mouthing about your ex. huo ni uswahili na utoto akue sasa.
Especially kama mna mtoto pamoja!

Yani unamuwekea mtoto habari mbaya sana kwenye public.

Kila mtu anajua mtoto huyu baba n amama yake wana beef.

Mtoto mwenyewe anakua katika beef la baba na mama.

Nimegundua western societies zina high divorce rate, lakini watu, hususan waliosoma, washaweza kuishi vizuri baada ya divorce. Yani hata kama si best friends, ila ule ujinga ujinga wa kusemana vibaya waneushinda.

Yani ukimsema ex vibaya hivyo unajisema hata wewe ni mjinga kwa kukubali kuzaa na mtu huyo.
 
magundu alijitia yeye na matunuri yake, baada ya kugundua hayafanyi kazi akayaaca ndipo ameanza kufanikiwa kupitia jina la mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…