Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kwa akili za hamisa hawezi lolote, aendelee kubinua makalio na kuvaa vigodoro tuHao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?Aseee hilo bunge waingie akina steve na hamisa mbona balaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lini ulikuwa mgumu?!
Ubunge una heshima? Bora Diwani anaheshimika kuliko hao Ndiyooo Jazz Band.Imekuwa Siyo kazi ya heshima tena
Ubunge una heshima? Bora Diwani anaheshimika kuliko hao Ndiyooo Jazz Band.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwalinganisha na hao watembea uchi.Kwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?
Ina maana yule mbunge wa sasa aliye unga mkono hatoshi?Halo JF siasa.
Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha Wanakinondoni bungeni. Inadaiwa anaungwa mkono na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Dar es salaam.
Mheshimiwa Hamisa amepanga kuutokomeza biashara ya madawa ya kulevya, ukahaba, wizi na vitendo vingine vya uhalifu. Pia amepanga kuboresha miundombinu, elimu, Afya, maji, usafi wa mazingira, kupunguza kelele nk.
Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo
Sent from my iPhone using JamiiForums