Huyu demu nilikuwa namkubali sana sema nilivyosikia romey Jones, peti man, tunda man na diamond washapita dah inabid Nifikirie upya wazo langu la kutaka kumnunulia Toyota ist
muanzisha uzi utakuwa uko kwenye giza totoro sana....kwanza!una ushamba wa mademu wa kawaida sana hapa mjini,pili una uwoga kwa watoto mabwege sana !kwa maandishi yako inaonekana hao watoto waliomgonga huyo demu unawaogopa sana na unawachukulia wakali mno,wakati mjini wanaishi kwa line ya wema sepetu!
Agongwae na wengi mtamu huyo we kagegede uende zako huo ushamba wa mapenzi mapenzi waachie mbwiga ,mi mambo ya kuhonga mademu nimeacha kitambo nawanunua kwa bei yao kwa wakati wangu, mfuko ukinywea nawatupa huko !tena hivyo vijitu ulivyotaja mbona vikuwadi poa tu ,watakuuzia sura yeyote maarufu unayojisikia kuikoroga !
love the best fu.c.k the rest!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.