my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mrembo mwana mitindo na msanii maarufu anayetikisa dunia kwa sasa Hamisa Mobetto amekuja na record label ( Mobetto music) yake ambayo ofisi zake zinapatikana jijini Dar es Salaam Tanzania.
Habari za chini zinasema record label hiyo imeshasajili baadhi ya wasanii akiwemo Gigy Money, Amber Ruty, Rose Ndauka na Amber Lulu. Wasanii hao wanatarajia kutangazwa hivi karibuni
Wasafi na King Music mjiandae mtapotezwa kwenye soko la music muda si mrefu 👀