Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kati ya Huyo binti na Aziz K nani anapesa zaidi?Nipesa tu kafwata hapo mkuu ikiisha na penzo lumeisha
Kwann MkuuAziz Ki kwisha habari
Hivi Aziz Ki, akimuwowa Hamisa, si ndio anakuwa raia wa Tanzania? Kama ni hivi, hii ndoa inabidi ipiganiwe haraka na TFF ili ajiunge timu ya Taifa.Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC.
Sana 🙆🏻♀️Nikimuwaza yule dada aliyezaa nae 😭😭Wanaume ni mbwa
Una uhakika?Wanaume ni mbwa
Wanapewa uraia bure siku hizi kiongozi, ni suala la muda tu atakuwa mswahili mwenzetu😛😛😛Kijana muda Siyo mrefu atapasahau kwao