Hamisa Mobetto atarajia kufungua Duka la nguo na urembo

Muombe Mungu akutangulie katika biashara yako. Usisikilize masemo ya kukukatisha tamaa angalia yako
 
Hahahahh....usidanganye tena jukwaani eee....
Wewe nawe,miaka miwili mfululizo maana yake hata mkiwa na mahusiano sio lazima 24/7 muwe mnalala same place...kweli common sense isnt common.
 
Wewe nawe,miaka miwili mfululizo maana yake hata mkiwa na mahusiano sio lazima 24/7 muwe mnalala same place...kweli common sense isnt common.
Sheria inasema waishi pamoja under the same roof kwa miaka miwili mfululizo...Sheria haina common sense ni facts tu!!
 
Yan Kisa kua mbongo ndio nimsupport side chick anayeleta mbwembwe kwa mwanamke anayejulikana ndiye main NEVEEEEER.
Hizo support mngeanza na kununua CD za bongo movie mpaka waache kulalamikia wakorea
 
Hivi unazaaje na mtu ambae hana ht mpango na ww?

Jmn zaeni na waume zenu sio wa watu, ni kuzalilishwa tu!

Mambo mengine wanawake huwa tunajitakia

Bora ss amejitambua aachane na Child support
Halafu mtu anataka apewe support Kisa mbongo mwenza.

Ndege wafananao kweli huruka pamoja.
 
Yan Kisa kua mbongo ndio nimsupport side chick anayeleta mbwembwe kwa mwanamke anayejulikana ndiye main NEVEEEEER.
Hizo support mngeanza na kununua CD za bongo movie mpaka waache kulalamikia wakorea

Roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…