Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Model hamissa Mobetto avujisha picha zake alizopiga na diamond platinumz enzi za mahusiano yao.

Katika picha hizo zipo ambazo amepiga madale, kwenye kitanda kile kile ambacho Zarina anakitumia akija.



Wakati Huo Huo:

Inasemekana Diamond Platinumz anampango wa kumpeleka Hamisa Mobeto Polisi kwa kuvujisha picha zao za kitandani. Shilawadu wamtafuta Dada yake diamond ili kuthibitisha, ila dada yake aonyesha kutoelewa chochote kwa kukwepa Maswali.

 
Kaz kaz bongo Bila
Kiki n stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…