Ok if that's what you think of me ,fine
I can't judge you
Good night my dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaifunga wala nini ushaanza kuwa muoga ghafla.Mbona pm umeifunga sasa au wataka tuyajenge hapa hapa?![emoji848]
[emoji1][emoji1][emoji1] ung'eng'e umepamba moto.What a sympathy like ur madam zero.
Ngoja nirudi
[emoji1][emoji1][emoji1] ung'eng'e umepamba moto.
[emoji23][emoji23][emoji23] mm nimeamua kupita kimya kimya maana si wengine tumekimbia umande.[emoji1][emoji1][emoji1] ung'eng'e umepamba moto.
Imebidi tubaki kua wapenzi watazamaji maana hali tete. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nimeamua kupita kimya kimya maana si wengine tumekimbia umande.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kimalkia si cha nchi hii[emoji28][emoji28][emoji28]Imebidi tubaki kua wapenzi watazamaji maana hali tete. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kula tano!! [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] nimekupenda bureAhahahah mamy achana nao
Wanna stress
Mtu anaishi kwa mtogole single room choo cha folen wategemea nn?
Hasira zao wamezihamishia kwa misa
Am telling you wana maisha mabovu kushinda hata misa
Kama nadanganya waniprove wrong
Hakuna alowatuma kuzaa na wauza dagaa sokon
You and you and you pambaneni na hali zenu
Misa hakuwafanya mgongwe na makapuku hasira zenu zihamishieni kwenye kuboresha maisha yenu na wanenu
Mnajijua sihitaj kutaja majina
Wa moja havai mbili
Pambanen na hali zenu makapuku nyie
Sijataja mtu ikikuuma kanywe maji ya betri motherf*does
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hornet bwana!nakupendaga tuBila samahani
Karibu nipo Kwa mtogole jirani na mzee Iddy
Karibu tupige balimi Hao Zari na Hamisa Wana maisha Yao sisi tunaguess tu.
[emoji252] [emoji479]
100 trueShukran
Ntafika siku moja
Naelewa that's y nawarekebisha wanaodhalilisha wenzao jf ilhal tukiwaomba tufike makwao tuwape hi wanasepa
Life is not about material things
Hata Mungu anaangalia moyo
Mwanadamu ni mavumbi na uchafu tu
Ukijua haya hutamdhalilisha usomjua mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona pm umeifunga sasa au wataka tuyajenge hapa hapa?![emoji848]
Nashukuru kwa upendo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hornet bwana!nakupendaga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani humu acha tuNaona wadada wameamua kutoana povu dadek!
I wish ingekua uswahilini alafu mnaonana live, najua ningefurahia show dadek zangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wasema hvyoo!!Sema Hamisa ni zwazwa tu ataendelea kutukanwa sababu aliingilia familia ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app