Na JojoHamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!
Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lile limama nalo si lilikuwa linashikwa mitako live...? Wote walewale tuuHakuna mwanamke alikua na diamond akakosa kudhalilishwa wote wamepitia hizo phase za vichambo vya diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true.....hivi haka kajamaa kanawapa nini?Hakuna mwanamke mondi hajamdhalilisha kinachomsaidia Zari ni kimoja tu si kwa sababu amezaa nae hapana ni kwa sababu anajua akimdhalilisha atamfungulia mashatka na atamfilisi baasi huo ndo ukweli lakini kwenye mapenzi sio Wema, Sio Hamisa wala Zari waliomove on kirahisi hvyo!!kosa kubwa la hamisa ni hilo wanalolifanya wengine mpk Leo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi liwema lilikuwa linafanya nini pale? Weka na kulewa sasa yaan aibuuUmemuona Wema Jana kwenye party ya Romy kaah!elimu,elimu,elimu nashukuru Mungu darasani nilielewa sikucremu!!kesho anawaambia ashki zenu ndo zimewapeleka njaa mbaya sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau Wema angalau alivalishwaga kapete ka kizushi[emoji23] [emoji23]Mauno gani bibi mtu hata kuolewa hujaolewaa shunie huo uchizi tuu!![emoji23] [emoji23] wanawake wote wa daimond mahawara tu halafu hakuna hata aliyetolewa barua hata kwa bahati mbaya na bado unakaa unakubali kudhalilishwa kisa dudu aaah!wapi!
Mi bwana jeuri nakuacha na pesa zakooo!!!hapoo na dudu yako kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa JF kuna mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sorry madame for the late reply
I was busy,you know some of us work in order to earn a living
Ok ,if I may ask,who are you again?
What do you do?or in short where do you work? My bad am sorry
But I mean to ask do you work?or have company or whatever? I just wanna know who am talking to
Then why are so bitter about dimondo having sex with hamisa ?
Why do you hate hamisa so much?hate and love can't be hidden please don't lie to me or the public
Where do you live?
Can i come and visit?I can arrange a transport
Are you married,divorced ,single or neutral?
Am sorry but just wanna know who you truly are,forgive my bad manners
I will be more than honored to get to know you
Btw am a woman
And above all things I don't condone women shaming another for men's sake
If you wanna know more about myself just holla my PM will give you my number and where I work so that you can come so that we can have a cup of coffee
I see you as someone with either mental or relationship crisis and needs helps ASAP
CIAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Hamisi ana tamaa na hajiaminiHamisa hapo ndo anapofeli nampenda sana tu ila kumpa ukweli masti kwa mtu anaejielewa hawezi kujibu kirahisi hvyoo!hawa wanawake sijui mondi anawapa nini!
Mpk wanakubali kudhalilishwa hivi yaani penny tu ndo alisimama imara!wengine wote zeros kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app