Hamisa Mobetto; kwanini Diamond na sio Majizzo?

Watu mnaumiza kichwa na maisha ya wenzenu kuliko yako binafsi
 
Why diamond and not majjizo? Jibu ni kuwa diamond mwenyewe ndio anaweka mazingira ya kuwa na huyo mwanamke, hajaamua ku move on like majjizo, inaonyesha majjizo alipomtema alifanya once and for all, kwa upande wa mond hapana yeye hana kabisa msimamo.
kwann hamzungumzii zari
 
Diamond mwenyewe anapenda drama na kiki hana msimamo
 
C ajabu hata huyu wa pili
N wa majizo domo kawekelewa
Tu kupushiana kik
 
kuna snitch kaniambia apa eti jizo alitaka tigo beto akagoma kutoa so akamkimbia mazima
 
Kwa majizzo alileta shida kama hii ila lulu komesha alihakikisha majizo anachukua mwanae kabisaa kufunga kiherehere cha tununu
Majizzo amekua hatakagi ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…