mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa tuzo wa TFF.
Wawili hao wamekua wakionekana pamoja mitandaoni, wameonekana pia pamoja jana katika usiku wa tuzo hizo za TFF. je we unadhani Aziz Ki na Mobetto ni wapenzi?
Wawili hao wamekua wakionekana pamoja mitandaoni, wameonekana pia pamoja jana katika usiku wa tuzo hizo za TFF. je we unadhani Aziz Ki na Mobetto ni wapenzi?