Hamisa Mobetto na Azizi Ki Dubai

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa tuzo wa TFF.

Wawili hao wamekua wakionekana pamoja mitandaoni, wameonekana pia pamoja jana katika usiku wa tuzo hizo za TFF. je we unadhani Aziz Ki na Mobetto ni wapenzi?

Your browser is not able to display this video.
 
Angekataa kwenda Dubai ndo ingekuwa habari.
 
Injinia anajua kutengeneza script, Lamatah arudi upya Bongo Movies
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti mwanamitindo msanii πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…